Amos 1:3

Hukumu Juu Ya Majirani Wa Israeli

3 aHili ndilo asemalo Bwana:

“Kwa dhambi tatu za Dameski,
hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.
Kwa sababu aliipura Gileadi
kwa vyombo vya chuma vyenye meno.
Copyright information for SwhNEN